WAZIRI WA UCHUKUZI

WAZIRI WA UCHUKUZI смотреть последние обновления за сегодня на .

Spika tulia ambananisha tena Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Tanroads, Kadco......

3664
17
2
00:24:48
05.11.2022

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akagua maradi ya Mendeleo ya Wizara hiyo

880
5
1
00:09:17
18.08.2022

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akagua maradi ya Mendeleo ya Wizara hiyo

🔴#BREAKING: RIPOTI ya WAZIRI MBARAWA AJALI ya PRECISION - ''MUHUDUMU NDIYE ALIFUNGUA MLANGO''..

4316
21
10
00:27:19
24.11.2022

🔴#BREAKING: RIPOTI ya WAZIRI MBARAWA AJALI ya PRECISION - ''MUHUDUMU NDIYE ALIFUNGUA MLANGO''.. NOVEMBA 24, 2022 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezungumza na wanahabari kuhusiana na ripoti ya ajali ya ndege iliyoanguka ziwani Bukoba na kuua watu 19... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

waziri ziara

189
1
0
00:01:29
06.04.2022

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi ameridhishwa na hatua zinazochukuliwa na watendaji wa Mamlaka ya viwanja vya ndege katika kuimarisha mazingira bora ya uwanja pamoja na mazingira ya utoaji wa huduma. Waziri Dk. Khalid ameeleza hayo wakati akiwa katika muendelezo wa ziara zake pamoja na Naibu waziri wa wizara hiyo ya kukagua na kutembelea maeneo mbali mbali kwa lengo la kuzitambua taasisi zinazounda Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi. Amesema ameridhishwa na jitihada zinazochukuliwa na watendaji wa Mamlaka hasa katika harakati za Ujenzi katika kuipatia ufumbuzi changamoto ya kuondosha maji katika uwanja huo. Waziri Dk. Khalid ameeleza kwamba pamoja na jitihada nzuri zinazochukuliwa na watendaji wa Mamlaka ya viwanja vya ndege lakini pia ameshauri kuchukuliwa kwa hatua za makusudi za kuhamishia shughuli za ushushaji wa abiria kwenye Jengo namba 3 la abiria ili kuondosha changamoto ya msongamano kwenye Jengo nambari 2. Pia, Katika ziara hiyo, viongozi hao walipata fursa ya kutembelea maeneo yalioanishwa kutumiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege ambayo kwa sasa baadhi ya maeneo hayo yanakaliwa na wananchi. Akizungumzia juu ya maeneo hayo Waziri Dk. Khalid ameleza kuwa, lengo la kufanya ziara katika maeneo hayo ni kuangalia hatua zinazoendelea ambapo amewataka wananchi kutokuwa na taharuki kwani Serikali inaendelea na mchakato wa mipango yake juu ya maeneo hayo na mara ya kukamilika kwa mipango hiyo wananchi watapewa taarifa kamili. "Nawaomba wananchi wanaoishi katika maeneo ya karibu ambayo yamewekwa alama wasiwe na khofu kupitia ziara hii, kwani ziara hii hailengi kuchukua hatua yoyote". Alifafanunua Waziri Dk. Khalid Katika hatua nyengine Mhe. Waziri amewashauri viongozi na watendaji wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kuwa na mikakati ya muda mrefu inayofafanua dhamira na Dira ya mamlaka ili kutoa urahisi katika utekelezaji wake. Nae, Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Zanzibar Ndugu Seif Abdalla Juma amesema kupitia ziara ya viongozi hao wa Wizara Mamlaka hiyo itayafanyia kazi mapendekezo na maoni yote yaliotolewa ili kuufanya Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuendelea kutoa huduma bora kitaifa na Kimataifa. Ziara hizo za viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi zinalenga kuimarisha utendaji kazi wa Taasisi na Idara tofauti zilizomo ndani ya Wizara hiyo.

Waziri wa uchukuzi afanya ziara ya kushtukiza uwanja wa ndege.

2021
3
1
00:03:05
14.08.2013

Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar-es-Salaam na kubaini kuwa upitishwaji wa madawa ya kulevya uwanjani hapo hufanywa kwa msaada wa baadhi ya wafanyakazi wanaoshirikiana na wasafirishaji hao kupitisha shehena hizo.

Waziri wa uchukuzi James Macharia apata watetezi bungeni

2193
6
16
00:02:19
18.06.2020

Wabunge kutoka mirengo ya kieleweke na tanga tanga katika chama cha jubilee na kadhalika wa odm wameapa kupiga teke mswada wa kumng'atua ofisini waziri wa uchukuzi james macharia. Wabunge hao wamemkosoa mbunge wa nyali mohamed ali anayeshinikiza mswada huo na kutaja hatua hiyo kama potovu.

bajeti

124
0
0
00:06:13
24.05.2021

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAMEIYOMBA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI KUZIPITIA UPYA BARABARA ZOTE AMBAZO ZILIZOJENGWA CHINI YA KIWANGO NA KUHARIBIKA KWA MUDA MFUPI NA KUPELEKEA USUMBUFU KWA WANANCHI WANAPOTAKA KUTUMIA KWA SHUHULI ZAO MBALI MBALI. WAJUMBE HAO WAMEYAELEZA HAYO KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI CHUKWANI WAKATI WAKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2021 HADI 2022. WAJUMBE HAO WAMESEMA ENDAPO WATAZIPITIA UPYA BARABARA HIZO NA KUZIJENGA KWA KIWANGO NA KWA UMADHBUTI BARABARA HIZO ZITAWEZA KUDUMU KWA MUDA MREFU NA KUIPUNGUZIA HASARA SERIKALI KWA KUTIA VIRAKA KILA BAADA YA MUDA AIDHA WAJUMBE HAO WAMEIYOMBA WIZARA HIYO KUZIFANYIA MATENGENEZO BARABARA ZA NDANI ZA UNGUJA NA PEMBA ILI ZIWEZE KUTUMIWA NA WANANCHI NA KUEPUSHA USUMBUFU WANAOUPATA WAKATI WANAPOTUMIA KWA HARAKATI MBALI MBALI ZA KIMAISHA KWANI MARA NJINGI HUSAHAULIWA BARABARA HIZO NA KUPELEKEA MSONGAMANO KATIKA BARABARA KUUU. AKIJIBU BAADHI YA HOJA ZILIZOTOLEWA NA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI CHUKWANI MAKAMU WA PILI WA RAIS MH: HEMED SULEIMAN ABDALLAH AMESEMA KUHUSIANA NA UPATIKANAJI WA USAFIRI WA MELI TAYARI SERIKALI KUPITIA WIZARA HIYO LINALIFANYIA KAZI KWA LENGO LA KUWAONDOSHEA USUMBUFU KWA WANANCHI WA UNGUJA NA PEMBA WANAOUPATA HIVI SASA. AKITOA MAJUMUISHO WAZIRI WA UJENZI MAWASILIANO USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI MH: RAHMA KASSIM ALI AMESEMA WIZARA YAKE ITAENDELEA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA KUZITATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI AMBAZO ZIMEKUWA KERO KWA JAMII IKIWEMO UBOVU WA BARABARA NA KUZITENGENEZA BARABARA ZA NDANI. WAJUMBE HAO WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAMEIPITISHA HOTUBA HIYO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2021 HADI 2022.

NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI, MHE ATUPELE MWAKIBETE AKIFUNGUA MKUTANO WA TATU WA (AQRB) 2022

92
2
0
00:16:30
19.10.2022

Akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa mwaka Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete alisema kuunganisha nguvu ya pamoja kwa wataalamu kutawezesha mitaji yao kuimarika na kuweza kupata kazi za ujenzi kwenye miradi mikubwa.

Kipchumba Murkomen anayependekezwa waziri wa uchukuzi kuhojiwa

1274
4
0
00:03:06
19.10.2022

SHUGHULI YA KUWAHOJI WANAOPENDEKEZWA KUWA MAWAZIRI INAENDELEA KWA SIKU YA TATU, HII LEO IKIWA ZAMU YA KIPCHUMBA MURKOMEN ALIYETEULIWA KUWA WAZIRI WA UCHUKUZI. MURKOMEN AMESEMA KUWA WIZARA HIYO INADAIWA MABILIONI YA PESA NA MIRADI KADHAA IMEKWAMA KWASABABU YA KUTOWALIPA WANAKANDARASI. AIDHA MURKOMEN AMESEMA SERIKALI INAPANIA KUTOZA ADA YA UTUMIZI WA BARABARA ZAIDI KAMA INAVYOFANYIKA KWENYE BARABARA YA EXPRESSWAY.

Waziri wa uchukuzi Mombasa abanduliwa

1505
6
0
00:02:22
19.03.2019

Waakilishi katika bunge la kaunti ya Mombasa wamemfurusha waziri wa uchukuzi Tawfiq Balala wakimshutumu kwa utumizi mbaya wa mamlaka na kuwa na kiburi. Na kama Francis Mtalaki anavyotuarifu, kubanduliwa kwa Balala ni pigo kwa gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho ambaye alikuwa amewasihi wabunge kutomtimua. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Waziri wa Uchukuzi James Macharia kuzuru miradi ya serikali Mombasa

3003
17
1
00:07:34
24.06.2022

Miradi hiyo ya uchukuzi inalenga kupunguza msongamano Mombasa, Kwale na Kilifi Macharia atazuru mradi wa barabara ya Dongo Kundu na daraja la Makupa

#TBC:NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AKAGUA UJENZI WA NJIA NNE MOROGORO ROAD

1169
8
1
00:05:32
04.01.2022

Naibu waziri wa ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya ametembelea nakukagua maendeleo ya ujenzi wa njia nne kutoka Mbezi hadi Kibaha. Katika ziara hiyo Mhandisi Kasekenya ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya upanuzi wa barabara hiyo ambayo awali ilikuwa ikisababisha foleni kubwa ya magari. Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, 🤍tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): 🤍 App Store (iOS): 🤍 Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: 🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍

Waziri wa Uchukuzi James Macharia anazuru miradi ya serikali Mombasa

2215
13
2
00:02:43
24.06.2022

Miradi hiyo ya uchukuzi inalenga kupunguza msongamano Mombasa, Kwale na Kilifi Macharia atazuru mradi wa barabara ya Dongo Kundu na daraja la Makupa

🔴 #BUNGE LIVE: Kinachoendelea BUNGENI | Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

1248
12
0
01:34:31
24.05.2022

Kinachoendelea ndani ya Bunge la Tanzania mkoani Dodoma, Bunge la 12 mkutano wa 7 kikao cha 29, Wabuge wakichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana Prof. Makame Mbarawa. BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA KIKAO CHA ISHIRINI NA TISA - TAREHE 24 MEI, 2022 RATIBA: i) DUA ii) HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - Waziri wa Mifugo na Uvuvi. iii) MASWALI -Ofisi ya Waziri Mkuu. -Ofisi ya RAIS (Tamisemi). -Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. -Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. -Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. -Wizara ya Nishati. -Wizara ya Kilimo. iv)HOJA ZA SERIKALI -Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

NAIBU WAZIRI WA UJENZI AKAGUA NA KUSHANGAZWA TAZARA "KARAKANA ZIPO HOI, YARD IMEPAKI MABEHEWA TU"

8210
70
31
00:06:15
30.12.2021

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya akizungumza mara baada ya kukagua karakana Kuu za TAZARA jijini Dar es Salaam ameshangazwa kuona mabehewa yalivyochoka na majengo kukuta yamefungwa.

Waziri wa uchukuzi mashakani katika kaunti ya Mombasa

5853
21
9
00:07:49
19.03.2019

Tuelekee kaunti ya Mombasa ambapo Hoja ya kumtimua waziri wa uchukuzi kaunti hiyo Taufiq Balala inatazamiwa kujadiliwa hii leo licha ya chama cha odm kuitisha kikao na wawakilishi wa wadi kuhusu swala hilo. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Waziri wa uchukuzi anazindua barabara Kilifi

4752
27
2
00:05:14
02.11.2021

Ni barabara ya kutoka Bamba kuelekea Ganze na Kilifi Barabara hiyo inatarajiwa kuboresha biashara Kilifi na Makueni

Jukwaa la KTN: EACC wafanya uvamizi Karen kwa aliyekuwa waziri wa uchukuzi Michael Kamau

929
3
1
00:11:46
22.05.2018

Maafisa kutoka tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC, mapema leo waliyavamia makao ya aliyekuwa waziri wa uchukuzi, Michael Kamau, wakiwa na lengo la kumkamata. Hata hivyo maafisa hao waliofika nyumbani kwake Kamau mwendo wa saa kumi na moja alfajiri, waliondoka baada ya kupiga kambi kwa takribani saa tano, baada ya familia na mawakili wake Kamau kukataa kuwakubalia kwa misingi kwamba hawakuwa na stakabadhi za mahakama. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

WAZIRI MBARAWA ABAINISHA VIPAUMBELE UJENZI WA MIUNDOMBINU

341
3
2
00:09:20
04.08.2022

#MichuziHabari #MichuziTV #KaziIendelee WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema vipaumbele vya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/23 vinakusudia kuhuisha uchumi wa nchi na kuwakomboa Watanzania wa ngazi zote. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Prof. Mbarawa amevitaja vipaumbele hivyo kuwa ni kukamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazounganisha mikoa yote nchini ili kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi katika sekta mtambuka. Amevitaja vipaumbele vingine kuwa ni ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa km 3.2 Jijini Mwanza, kukamilisha Daraja la Wami linalounganisha Mkoa wa Pwani na Tanga, na Ujenzi wa Barabara za kupunguza msongamano na magari yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam na Barabara za mzunguko jijini Dodoma. KWA HABARI MBALIMBALI TEMBELEA: 🤍 🤍 🤍 INSTAGRAM: 🤍 TWITTER: 🤍 JE, UNA HABARI? TUTUMIEA KWA EMAIL HII ( michuzitv🤍gmail.com) Subscribe MICHUZI TV: 🤍

NAIBU UCHUKUZI ATINGA TAZARA, ATOA MAAGIZO "TRC TUMEWEKA TRILIONI 14.4 HAPA TUNASHINDWA"

1131
5
2
00:06:20
25.02.2022

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ametembelea TAZAMA kujionea changamoto zinazowakabili watumishi.

Expressway: Waziri wa uchukuzi afafanua kuhusu matatu kuzuiwa

1400
6
2
00:01:38
07.07.2022

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Masharti ya usafiri:Waziri wa uchukuzi James Macharia atoa mwelekeo kuhusu masharti mapya ya Usafiri

9768
25
13
00:03:50
08.07.2020

#Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Maafisa wa EACC wavamia nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa uchukuzi Michael Kamau

908
3
0
00:23:52
22.05.2018

Maafisa kutoka tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC, mapema leo waliyavamia makao ya aliyekuwa waziri wa uchukuzi, Michael Kamau, wakiwa na lengo la kumkamata. Hata hivyo maafisa hao waliofika nyumbani kwake Kamau mwendo wa saa kumi na moja alfajiri, waliondoka baada ya kupiga kambi kwa takribani saa tano, baada ya familia na mawakili wake Kamau kukataa kuwakubalia kwa misingi kwamba hawakuwa na stakabadhi za mahakama. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

RAIS wa zanzibar akutana na viongozi wa wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi ikulu zanzibar

380
0
0
00:03:19
09.03.2021

RAISwa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,kuziimarisha Taasisi zake ipasavyo hasa ikizingatiwa kwamba Wizara hiyo ndio uti wa mgogo wa uchumi wa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara hiyo, ikiwa ni mkutano kwa ajili ya kuripoti utekelezaji wa maagizo aliyoyatoakwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati alipowaapisha. Alieleza kwamba Wizara hiyo inapaswa kuchukua juhudi za makusudi katika kuhakikisha inatekeleza vyema majukumu yake kutokana na Taasisi zake kutegemewa kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha uchumi wa Zanzibar. Katika maelezo yake, Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa bado inaonekana hatua inayotakiwa haijafikiwa ikiwa ni pamoja na kufanywa mabadiliko katika kuhakikisha mafanikio makubwa yanapatikana katika Taasisi za Wizara hiyo na zile zisizo na tija kuondolewa. Aliongeza kuwa Wizara hiyo ina kazi kubwa zikiwemo zile za kushughulikia barabara, viwanja vya ndege, bandari pamoja na mawasiliano hivyo ni vyema ikajitathmini ili kuweza kujua majukumu hayo yanatekelezwa vipi. Aidha, alisisitiza haja kwa Wakala wa Barabara kutofanya kazi ambazo hawaziwezi ikiwemo ujenzi wa barabara na badala yake wakajishughulisha zaidi na kuziba viraka na barabara kubwa zipewe Kampuni zenye uwezo. Rais Dk. Mwinyi alisikitishwa na taarifa ya kuharibika kwa barabara ya Ole-Kengeja huko kisiwani Pemba ambayo imegundulika kuwa na kiwango kisichoridhisha huku akiitaka Wizara hiyo husika kuchukua hatua. Dk. Mwinyi akaeleza kutoridhishwa na utendaji pamoja na ukusanyaji wa mapato katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar na kuitaka Wizara hiyo kuhakikisha inaweka miundombinu rafiki ya ukusanyaji wa kodi. Kwa upande wa bandari, Rais Dk. Mwinyi alieleza kwamba bado kuna uvujaji wa mapato kwa meli zinazotoa huduma za ndani na kuitaka Wizara hiyo kulifanyia kazi suala hilo huku akisisitiza kuhakikisha fedha zote za Serikali zinakusanywa kwa njia ya elektroniki. Pamoja na hayo, Rais Dk. Mwinyi aliutaka uongozi huo kukaa pamoja na uongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ili kutatua changamoto zilizopo ikiwa ni pamoja na kuitaka Benki hiyo kufanya shughuli zake muda wote kama ilivyo kwa Bandari. Sambamba na hayo, Rais Dk. Mwinyi alisisitiza haja kwa watendaji wa Mawizara kuwa na mabadiliko ya utendaji huku akieleza iwapo kama kuna haja ya kuwepo kwa utitiri wa Bodi zinazosimamia utendaji wa kazi kwa Taasisi za Wizara hiyo. Nae Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali alimpongeza Rais Dk. Mwinyi kwaumahiri wake wa kusimamia utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Nane ambapo wka kipindi kifupi Zanzibar inashuhudia mabadiliko makubwa ya maendeleo na hasa katika suala zima la usimamizi wa mapato ya Serikali. Halikadhalika, usimamizi wa Miradi ya maendeleo, kupiga vita uzembe pamoja na ubadhirifu wa mali za umma sanjari na miongozo anayowapa muda wote ambayo imesaidia sana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Alisema kuwa Wizara hiyo imepewa jukumu la kusimamia sekta kuu mbili ambazo ni sekta ya usafirishaji inayojumuisha huduma na miundombinu ya usafiri na sekta ya mawasiliano inayojumuisha huduma na miundombinu ya mawasiliano. Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said alisisitiza haja ya kuwepo umakini katika miradi inayoendeshwa na Wizara hiyo ikiwemo ile ya barabara. Mapema Katibu Mkuu,Wizara hiyo Amour Hamil Bakari alieleza utekelezaji wa maagizo ya Rais ambapo katika maelezo yake alieleza kuhusu baadhi ya miradi kuonekana kuwa na kasoro ikiwemo mradi wa Barabara ya Ole hadi Kengeja. Alisema kuwa hatua za kumuandikia Afisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi wa ubora na fedha imeshachukuliwa. Pia, Katibu Mkuu huyo alieleza hatua zilizochukuliwa na Wizara kwa kuunda kikosi kazi kilichojumuisha Wahandisi na Wataalamu wa ICT kwa ajili ya usimamizi wa karibu katika utekelezaji wa Mradi wa jengo la Abiria (Terminal 3). Alieleza kwamba kwa upande wa Shirika la Bandari, limeweza kutoa huduma za Makontena kwa masaa 24 ambapo hivi sasa linahudumia Makontena 10-11 kwa saa badala ya Makontena 5-7 hapo awali ambapo pia, alieleza jinsi Wizara hiyo ilivyotekeleza maagizo mengin

WATENDAJI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi WA SMZ NA SMT

110
1
0
00:02:39
16.09.2021

WATENDAJI kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamesema kuwa watahakikisha wanakuwa mabalozi wazuri katika kushajihisha wawekezaji kuekeza katika maeneo Uhuru ya Uwekezaji Micheweni. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (sekta ya Uchukuzi) wa SMT Gabriel Migire, wakati alipokua akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi SMZ, kilichofanyika nje kidogo ya mjini Chake Chake. Alisema Kisiwa cha Pemba kimekua na maeneo mazuri ya uwekezaji, hivyo watahakikisha wanashajihisha wawekezaji kuja kuekeza katika eneo hilo, kwa ajili ya maendeleo ya Kisiwa cha Pemba. “Sisi tutakuwa mabalozi wazuri na kila tutakapokutana na wawekezaji wakubwa, tutawafahamisha kuja kuwekeza na kuna maeneo mazuri na makubwa katika kisiwa hichi”alisema. Aidha Mkurugenzi huyo alisisitiza kufanyika kwa vikao katika ngazi mbali mbali, baina ya taasisi ya ZMA na TASAC ili kuondosha changamoto zilizopo baina ya taasisi hizo zianzohudimia jamii kwa kiasi kikubwa. “Vikao ni rasmi kufanyika katika ngazi hizi za wakurugenzi na sio kuendelea kubakia, changamoto hizi zilizopo kama vikao vingefanyika basi zingekua zimeshatatuliwa, sisi ni wataalamu vizuri tukakutana kwa ajili ya kujadiliana mambo yetu tuklishindwa tunanafasi ya kwenda juu”alisema. Kwa upande wake Mwenyekiti wa kikao cha majumuisho ya ziara ya wajumbe kutoka SMT na SMZ, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Amour Hamil Bakar, alisisitiza kufanyika kwa vikao vya mara kwa mara kwa wataalamu, ili kuondosha changamoto za usafirishaji katika sekta husika. Alisema ni jambo zuri vikao hivyo kuwa endelevu katika kuhakikisha utendaji unaimarika na wananchi wanapata huduma bora, huku akiwataka wakuu wa idara kuyatekeleza yote wanayokubaliana katika vikao hivyo kila wanapokutana. Naye Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira Tanzania Stella Joshua Katondo, alisema lengo la mkutano huo ni kuzikutanisha sekta zote zinazohusiana na sekta ya uchukuzi, kukaa pamoja na kujadili changamoto zao zikiwa chini ya wizara zao husika. Alisema kipindi cha nyuma ZMA na TASC, TPA na ZPC ndizo zilizokuwa zikikutana, lakini mwaka huu ndio mara ya kwanza kuzikutanisha sekta zote kukutana na kujadili changamoto zao kwa lengo la kuzitatua na kutokuzifanya kuwa kero. “Tumepeana muda wa miezi mitatu taasisi zetu kukutana mapema, kutatua changamoto zao kabla ya kikao kikubwa cha watendaji wote”alisema. Hata hivyo alisema changamoto kubwa ni kutokupatiwa vyeti kwa wanafunzi waliosoma katika chuo cha Bahari, ambao hawakupatiwa vyeti kwa kutokukidhi vigezo kwa kukosa kuwa na vyeti vya kidato cha nne, na kikao kuamua wanafunzi hao kupatiwa vyeti. MWISHO

WAZIRI MBARAWA AKIZINDUA NEMBO YA TAA -"VIWANJA VYA NDEGE KUFANYA KAZI SAA 24, MABORESHO YANAKUJA"

815
2
1
00:12:13
03.02.2023

Serikali itaendelea kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini kwa manufaa ya maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Waziri wa Usafirishaji na uchukuzi, Profesa Makame Mbalawa wakati wa uzinduzi wa Nembo ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) leo Februari 3, 2023. Amesema kuwa uzinduzi wa nembo hiyo uakisi utendaji na utekelezaji wa malengo Mamlaka hiyo kwa kuongeza tija katika usafiri wa anga hapa nchini. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Waziri wa uchukuzi Michael Kamau afika mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi

222
0
0
00:03:10
04.06.2015

Waziri wa uchukuzi aliyesimamishwa kazi kwa muda mhandisi Michael Kamau amesalimu amri na kufika mahakamani ili kujibu mashtaka ya ufisadi na kutumia mamlaka visivyo. Kamau ameandamana na waliokuwa wadogo wake akiwa katibu katika wizara ya uchukuzi. Watch KTN Live 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Waziri wa uchukuzi Michael Kamau ameiomba mahakama kuu kusitisha agizo la kufika kortini

150
0
0
00:02:19
03.06.2015

Waziri wa uchukuzi na miundo msingi aliyesimamishwa kazi kwa muda Michael Kamau ameiomba mahakama kuu kusitisha agizo lililotolewa na mahakama ya Milimani hapo jana kwamba afike kortini kujibu mashtaka ya kuwakwepa makachero wa EACC. Watch KTN Live 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

🔴#LIVE: WAZIRI wa UCHUKUZI Ataja SIKU RASMI ya SAFARI kutoka DAR kwenda GEITA ITAKAPOANZA...

1527
7
1
00:52:41
09.01.2021

🔴#LIVE: WAZIRI wa UCHUKUZI Ataja SIKU RASMI ya SAFARI kutoka DAR kwenda GEITA ITAKAPOANZA... WAZIRI wa uchukuzi, Dkt Leonard Chamuriho, leo Januari 09, amezindua safari za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

EACC yatupa baadhi ya kesi za mawaziri akiwemo waziri wa uchukuzi Micheal Kamau

191
0
0
00:02:22
05.06.2015

Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imeamuru kufungwa kwa faili za mawaziri watatu felix kosgei,davis chirchir na micheal kamau pamoja na seneta wa Nairobi Gideon Mbuvi almaarufu Mike Sonko. Hata hivyo waziri kamau hajaukwepa mkono wa sheria kwani baadhi ya tuhuma zilizofikishwa mahakamani bado zinamuandama. Watch KTN Live 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

"Kaka, Hatutaelewana" | Bila uoga Mbunge MAJALA amvaa WAZIRI wa UJENZI |

514
1
1
00:07:00
24.05.2022

Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana Prof. Makame Mbarawa.

Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Pro Makame Mbarawa Aipa Tano TRC RELI TV

2398
29
3
00:01:02
12.03.2018

TRC RELI TV, imekuwa na Mchango mkubwa wa kuwapatia Habari wananchi wa Tanzania na Nje ya Nchi kuhusu kinachoendelea kwenye Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standarad Gauge.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
WAZIRI WA UCHUKUZI исо gibah sridevi bol.com salsaworkshop haaland goal psg fade breeze Voador 소총 scishow quizshow เกมส์ FIFA PACK 楼門 jogging in hindi 肺部 proshno korun lego brick rigs NG集 Yesiam covid indonesia